Tembelea duka letu la mtandaoni
Bidhaa 150+ za mtandao kwa bei ya TSH · agiza mtandaoni · lipa ukipokea
Kebo za Cat6 za ndani, Cat6 za nje zinazostahimili jua kwa CCTV na Wi-Fi, na PoE switch kwa mitandao ya LAN. Kwa miradi ya majengo mazima, tutumie orodha ya vifaa upate bei.

Kutoka duka letu la mtandaoni
Bei kwa shilingi za Tanzania. Bofya bidhaa kuagiza kupitia duka.ecanetworks.co.tz.
Ndiyo. Tunaleta siku hiyo hiyo au kesho yake ndani ya Dar es Salaam, na tunasambaza nchi nzima kwa miradi na oda kubwa. Tuandikie WhatsApp +255 747 309 309 ukitaja mahali ulipo.
Kwa pesa ya simu, benki au taslimu. Oda za duka la mtandaoni tunazithibitisha nawe kwa WhatsApp na unalipa ukipokea.
Ndiyo. Tutumie orodha yako kupitia fomu ya bei hapa chini au WhatsApp tukutumie bei kamili.
Wasiliana Nasi
Unahitaji bidhaa, bei ya mradi au ushauri wa kiufundi? Timu yetu ya Dar es Salaam inajibu haraka.
Tutakujibu ndani ya saa 2 wakati wa kazi.
Ombi limepokelewa.
Unataka jibu la haraka zaidi? Tutumie ombi hilo hilo kwa WhatsApp.
Tuma kwa WhatsApp